BURUDANI ZAIDI

SIKU ZOTE TUPO KWENYE UKWELI KAMA UNAISI KUNA HABARI AMBAYO SI YA KWELI WASILIANA NASI KUPITIA ibrahimprivatus@gmail.com ILI UTOE MAONI YAKO

Wednesday, September 21, 2011

HAIJAWAHI KUTOKEA NI KICHEN PARTY YA MISS TANZANIA,WATU WASHAANGAA KWANINI IMEKUWA IVI NA NANI HLAUMIWE

Sherehe ya kufundwa (kicheni pati) ya Miss Tanzania namba tatu 2003/04, Nargis Mohamed, imezua gumzo kuanzia maandalizi hadi siku ya tukio mwishoni mwa wiki iliyopita BLOG HII inafunguka.Kwa mujibu wa kinasa habari chetu, tukio hilo la aina yake lilichukua nafasi Jumapili ya Septemba 18, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Karimjee, Posta jijini Dar es Salaam.

Katika shughuli hiyo iliyokuwa na maandalizi ya kihistoria, mastaa kibao wa kike waliohudhuria walijiachia kwa raha zao kutokana na wingi wa mazagazaga kama misosi na vinywaji.

Nyeti zilipenyezwa kwenye gazeti hili kuwa, Nargis ambaye ni Miss Ilala mwaka 2003/04 alifanya kicheni pati hiyo ikiwa ni kukamilisha taratibu za kufunga pingu za maisha Jumamosi ijayo.

Upekupeku wa ‘vuvuzela’ wetu ulibaini kwamba Nargis atafunga ndoa hiyo na mchumba’ke wa siku nyingi aliyetajwa kwa jina moja la Idd ambaye ni mfanyakazi wa benki moja jijini Dar.

Sherehe za harusi ya Nargis zinatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa The Star Rune Mikocheni, Dar.

KILA LA KHERI NARGICY KATIKA NDOA YAKO
Posted by IBRAHIM PRIVATUS at 3:13 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

TAFUTA HABARI HAPA

IBRAHIM PRIVATUS

KARIBU KATIKA BLOG YANGU ILIKUPATA KUNIJUA VIZURI NA KUANGALIA PICHA,VIDEO NA HABARI MBALIMBALI ZINAZONIHUSU NA HATA ZILE ZA WASANII WENGINE

KURASA ZA MAANA

  • Home

JIUNGE UPATE HABARI

ZILIZOJILI

  • ►  2014 (2)
    • ►  March (2)
  • ►  2012 (1)
    • ►  August (1)
  • ▼  2011 (39)
    • ▼  September (4)
      • MSHITUKO MKUBWA MWANAUME ALIYETUMIA ARV AOTA MATITI
      • HAIJAWAHI KUTOKEA NI KICHEN PARTY YA MISS TANZANIA...
      • MSHITUKO JIJINI,MAREHEMU TABIA WA KIDEDEA AFUFUKA ...
      • BAADA YA KUMGOMBANISHA NA ZAMARADI SASA LULU FAKE ...
    • ►  August (4)
    • ►  July (21)
    • ►  June (10)

NIJUE ZAIDI

My photo
IBRAHIM PRIVATUS
Dar Es Salaam, DAR ES SALAAM, Tanzania
KARIBU KATIKA BLOG YANGU ILI UPATE PICHA NA HABARI MBALIMBALI ZA MASTAA WA BONGO
View my complete profile

WEKA HABARI YAKO HAPA

  • TAMBUA UKWELI KUHUSU UNDUGU WA JACKLINE WOLPER NA IRENE UWOYA
    Kuna mtu kaniuliza swali ambalo sikuweza kuwa na jibu lake.Sasa kama unavyojua,BC ina watu.Watu kama wewe.Ninapokuwa sina jibu la swali au ...
  • DIAMOND APIGWA TAFU NA WEMA JUKWAANI
     WEMA:UNAKOKWENDA KAMA UKIFIKA SALAMA UNIKUMBE NA MIMI KUMBUKA MIMI SIO TENA MISS NA SASA NAKUTEMEA WEWE,UKIPATA BUKU JERO BASI UNITUMIE NA ...
  • HAIJAWAHI KUTOKEA NI KICHEN PARTY YA MISS TANZANIA,WATU WASHAANGAA KWANINI IMEKUWA IVI NA NANI HLAUMIWE
    Sherehe ya kufundwa (kicheni pati) ya Miss Tanzania namba tatu 2003/04, Nargis Mohamed, imezua gumzo kuanzia maandalizi hadi siku ya tuki...
  • MAMBO YA FACEBOOK:LULU NA REHEMA WAMGOMBANIA JUSTINE BEIBER KWENYE FACEBOOK LULU ASEMA YUKO TEYARI KUTEMBEA UCHI
    NI kituko cha mwaka kwa mastaa wawili Bongo, muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ‘Video ...
  • HII NDIO HISTORIA MZIMA YA LUDACRIS
    Ludacris Brian alizaliwa Christopher Bridges katika Champaign, Illinois, mtoto wa pekee wa Roberta Shields na Wayne Brian Bridges. [2] [3]...
  • JACKLINE WOLPER ABANWA
    Hemed Kisanda na Jelard LucasMastaa ‘kapo’, Jacqueline Wolper na Nassib Abdul ‘Diamond’ ambao uhusiano wao kimapenzi umekuwa ukitengeneza v...
  • LULU:NIKIVAA NGUO NDEFU NAWASHWA
    MSANII anayezidi kungara kwenye filamu mbalimbali Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amedai kuwa, anapenda kuvaa nguo fupi kwa sababu akivaa n...
  • IRENE UWAYO MAMBO SAFI
    :     "JAMANI TUMEPENDEZA NA WENYE WIVU MTAJIJU":Irene akiwa amembeba mwanawe.  Pembeni ni mumuwe Ndikumana. Akiwa na mwanaye.  ...
  • SERENGETI FIESTA 2011:2NDA MAN AMTIMUA DOGO JANJA JUKWAANI
    KATIKA HARI ISIYOTALAJIWA TUNDA MAN ALIMTIMUA DOGO JANJA JUKWAANI KATIKA TAMASHA LA FIESTA HAPO JANA,DOGO JANJA ALIVAMIA JUKWAA AKIWA TUMBO ...
  • BAADA YA KUMGOMBANISHA NA ZAMARADI SASA LULU FAKE AMGOMBANISHA LULU ORIGINAL NA UWOYA

UJUMBE WA LEO

FILAMU SIO MAJINA BALI NI KIPAJI

WEKA ZAKO HAPA

KUTOKA LOCATION

KUTOKA LOCATION
THIS BLOG POWERED DESIGNED BY IBRAHIM PRIVATUS,CONTACT:0714 803778 OR EMAIL:ibrahimprivatus@gmail.c. Travel theme. Powered by Blogger.