NI kituko cha mwaka kwa mastaa wawili Bongo, muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ‘Video Queen’ kumgombea mwanaume ambaye hana habari nao, blog hii kwa kupitia kwa mwana haraki wetu MUGU THE GREAT
Lulu (18) ndiye alikuwa wa kwanza kuelezea hisia zake kupitia blog moja ivi ambalo tumbo moja na blog hii, hivi karibuni ambapo alikaririwa akisema kuwa, anampenda msanii kinda wa Marekani, Justin Bieber (19) na kwamba siku jamaa huyo akitia maguu Bongo, yuko tayari kutembea uchi kutoka kwao hadi sehemu atakapokuwa msanii huyo.
Akizungumza na mwandishi wa blog hii jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita, Rehema alisema alisikitishwa sana na habari hiyo hivyo alimpigia simu Lulu na kumpa za uso kuwa aache mara moja kumpenda Bieber kwani yeye ndiye alikuwa wa kwanza kumpenda msanii huyo.
“Kiukweli kutoka moyoni mwangu nampenda sana Bieber ndiyo maana niliamua kuchora ‘tatuu’ ya jina lake mkononi mwangu,” alisema Rehema na kuongeza:
“Hiyo yote ni kwa sababu nampenda Bieber kupita maelezo na nilimweleza Lulu juu ya hilo, lakini cha ajabu naye amekwenda kujichora na kuniwahi kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa anampenda msanii huyo.
Hivi karibuni Lulu aliweka wazi hisia zake juu ya kinda huyo kutoka katika ardhi ya Rais Obama, Marekani huku akitafuna maneno kuwa huwa anajisikia maradhi ya moyo amuonapo Bieber na mpenzi wake Selena Gomez.
hata ivyo Lulu amejibu mapigo hayo na kusema Rehema hana jipya kwasababu teyari anamawasiliano na star huyo wa pande za Obama na asishangae siku atakayoona amekwea pipa kuelekea pande hizo za Obama kumfuata sweet wake huyo ambaye anampenda kupita kula,lulu amabaye amechora Tatoo ya Beiber mgongoni kwake amesema yu teyari tembea mtupu toka kwako TABATA anakoishi mpaka pale atakapofikia Beiber siku akitika maguu ndani ya Jakaya Land
mtamsikia kwenye maredio,kumuona kwny tv,kumsoma kwny magazeti...mtaishia kupigana 2..bt yeye hana habar na nyie...ashindwe kumuoa mtoto wa obama aje kuwa paparikia nyie....nyooooooooooooooo...mtaishia hivyo hivyo..
ReplyDeleteusiseme ivyo kila mtu na bahati yake ban usishangae siku LULU akitoka na JUSTINE
ReplyDeleteHell no man,,,Justin Biber is 17 nat 19,,got me?
ReplyDeleteMastaa wa bongo bwana...balaa..,,kama ni kweli hao wote ni machizi,,1st wanamjua Selena Gomez???,,kama hawamjui wam-google thn wasome detail zake....
ReplyDelete