Eti ni kweli Irene Uwoya na Jacquiline Wolper wanafanana kiasi kwamba wengine kuthubutu kumuita Jacquline kuwa ni pacha wa Irene Uwoya?Pichani aliyepo kushoto ni Irene Uwoya na kulia ni Jacquiline Wolper.Wewe unasemaje?Wamefanana?
Wednesday, July 13, 2011
TAMBUA UKWELI KUHUSU UNDUGU WA JACKLINE WOLPER NA IRENE UWOYA
Kuna mtu kaniuliza swali ambalo sikuweza kuwa na jibu lake.Sasa kama unavyojua,BC ina watu.Watu kama wewe.Ninapokuwa sina jibu la swali au maswali,naomba msaada kutoka kwako.Ndio raha ya kuzungukwa na jamii.Penye wengi hapaharibiki neno. Mwenzetu kauliza;
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment