Tuesday, July 12, 2011

LEADERS PALIVYOVURUGWA KWA DAKIKA 15

 "VIPI STEVE BANA IVI UNADHANI HIKI KIKAO KITAISHA SALAMA KWELI MAANA MMH WATU WAKO OVYO KICHIZI LEO"
 HAPO NDIPO HARI YA HEWA ILIPOANZA KUBADILIKA PALE DUDE ALIPOSIMAMA JUKWAANI "MABIBI NA MABWANA SASA NI ULE WAKATI WAKUPEANA LISALA KWAKUWA HARI YA MASTAA SASA INALETA KINYAA"
 DUDE:"NGOJA NIANGALIE KWANZA KAMA MIMI SIPO KWENYE ILI GAZETI MAANA ISIJE NIKAJICHOMEA MAKAA"
 "KWANINI KILA GAZETI ANAONYESHA PICHA YANGU? INA MAANA WENZINE NI WEMA AU NDO ANA BIFU NA MIMI? HAPANA SIWEZI KUVUMILIA"
 "STEVE NAOMBA UNIACHE NIMWONYESHE HUYU MAANA NIMEMCHOKA INAMAANA MIMI NDIO MWENYE SIKENDO CHAFU PEKE YANGU SIKUBALI"
 STEVE:"JACK NINI TENA EBU TULIA BASI MAMA HAYA MAMBO YASIWE MAKUBWA KIASI JAMANI TUNAJIDHALILISHA WENYEWE HAPA"
 "OYA KAMERA YA NINI SASA MIMI SINIMETULIA TU HAPA SASA MBONA UNALETA MAMBO YA KIJANGA KAMA HAYO WEWE AU UNATAKA NIKUPIGE UPATE CHA KUONGEA?
 "POLISI TUNAOMBA MTUSAIDIE JAMANI MAJI YASHAZIDI UNGA
 " MY WIFE NAOMBA UJE KUNICHUKUA HUKU HARI YA HEWA  ISHACHAFULIWA MIMI NI MTU MZIMA SITAKI MAMBO YA KIJANGA EBU NJOO UNICHUKUE
 "MMMH JAMANI NA NYIE PAPARAZI SISI TUMEKAA TU HAPA HATUFANYI KITU CHCHOTE KILE"

"SISI TUMETUMWA NA AFANDE KOVA NAOMBA MTULIE KABLA HAMJAENDA KITUO CHA KATI SAWA? SIE HATUJARI UMAARUFU WENU"

IVYO NDIVYO ILIVYOKUWA PALE LEADERS CLUB KATIKA KIKAO CHA MASTAA WA FILAMU NCHINI KWA  KWELI ILIKUWA SI MCHEZO.HAKIKA PALIKUWA HAPATOSHI KISA CHA MKASA HUU NI PALE RAISI WA SHILIKISHO ILI ALIPOSEMA KWANINI WASANII HAWAJICHUNGI KWAKUWA SKENDO ZAO KILA SIKU KWENYE MAGAZETI KITU AMBACHO KIMEDAIWA NI KUJIDHALILISHA 

No comments:

Post a Comment