Wakazi wa Jiji la Dar es salaam hapo jana walikula bata bila majotrooooooo ndani ya serengeti fiesta 2011 iliyofanyika katika ukumbi wa Leaders jijini Dar es salaam katika tamasha ilo lililokuwa la aina yake kulitokea vituko kibao na moja kati ya vituko ivyo ni kutupiwa kwa vyupa vya kwa Bushoke. msanii huyo mkongwe katika muziki wa bongo flaver alipanda jukwaani kwa ajili ya kupewa tuzo ya heshima kama mmoja wa wanamuziki walioupeleka muziki huo jukwaani,baada ya bushoke kupewa tuzo hiyo aliwataka watu waliofulika katika ukumbi huo wa leaders kumpigia makofi raisi wa TZ jakaya mrisho kikwete kitu ambacho kilipelekea kurushiwa vyupa kwa msanii huyo kwani mashabiki walikasikila na wengine walisikika wakipiga kelele,toka toka toka kitu ambacho kilimfanya bushoke ajione hana thamani mbele ya mashabiki hao nakuona isiwe tabu bora niondoke jukwaani.DUH KWELI WATANZANIA WAMECHOKA
No comments:
Post a Comment