MSANII anayezidi kungara kwenye filamu mbalimbali Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amedai kuwa, anapenda kuvaa nguo fupi kwa sababu akivaa nguo ndefu anawashwa. Akizungumza na mwandishi wa habari hii juzi ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, Dar es Salaam, Lulu alisema kuwa, hiyo ndiyo sababu kubwa ambayo inamfanya kila anapotoka avae nguo hizo za kihasarahasara.
“Yaani huwezi kuamini, nikivaa nguo ndefu, basi siku hiyo nitajikuna sana maana nitawashwa mwili mzima, kuanzia kiunoni, hasa mapajani kuelekea miguuni,” alisema msanii huyo na kuongeza:
“Ujue kuvaa kwangu nguo fupi siyo kwamba naiga kwa watu wengine, tangu nikiwa mtoto nilikuwa navaa hivyo na ndiyo maana kubadilika ni ngumu kidogo.”
Lulu ni msanii wa kike mwenye umri mdogo ambaye mara kadhaa amekuwa akilalamikiwa kutokana na tabia yake ya kuvaa nguo fupi wakati anapoto mitoko lakini Luli mwenyewe amesema haoni sababu ya waandishi wa habri wa magazeti kumfatilia kwa sababu yeye mwenyewe ndivyo anavyopenda kwa hiyo amesema wafanye mambo mengine na sio kumfatilie maisha yake
"EEEEEH NGOJA NICHEKE MIE" NDIVYO ANAVYOONEKA AKISEMA HAPO AKIWA KATIKA VAZI LA ................ AMBALO BAADHI YA WATU WAKIONA BASI BOXER LAZIMA ZIACHIE MADOWA
"EBU NIWEKE POZI ILI KWA RAHA ZANGU"LULU AKIWA KATIKA MOJA YA PICHA AMBAZO ANAONEKANA AKIWA AMEVAA NGUO FUPI
"ONGEENI SASA NIPO KIAFRIKA ZAIDI"DUH HII SASA NI HATARI LULU
"NA BADO MTASEMA SANA"

huu ni uchangu hamna kitu apo
ReplyDeletetatizo mastaa wa kibongo hawajitambui wanakuwa kama serikali ya TZ
ReplyDeletemnajua nini guys...huyu dem hajapata mtu wa kumkuna vizur ndo maana ana washwa washwa hovyo cku yake ipo...cku akipata wa kumkuna vizur atatulia....
ReplyDeletebt me naona ni uulimbukeni km mzur mzur 2.na km una mvuto unao 2 c lazma mpak uvae nguo fup..me naona wanao vaa nguo fupi ni ma hunter's.....